Wilaya ya Bondo

Wilaya ya Bondo ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya tangu mwaka 1998 hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Bondo.

Kwa sasa imerudi kuwa sehemu ya kaunti ya Siaya.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search